Muimbaji wa Tanzania, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).
Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best African Song/Entertainer na wimbo wake ‘Mdogo Mdogo’.
Kwenye kipengele hicho, Diamond anachuana na Aye – Davido (Nigeria). “Bundelele, – Awilo Longomba (Congo) “Tam Tam” – Willy Paul Msafi (Kenya), ”Sitya Loss” – Eddy Kenzo (Uganda), na “Mama Africa” – Bracket (Nigeria).
Ili kumpigia kura Diamond bonyeza link hii http://irawma.com/irawma_ vote2014
No comments:
Post a Comment