Social Icons

Pages

Thursday 18 September 2014

SERENGETI FIESTA 2014: TAARIFA KUHUS FIESTA YA MORO NA IRINGA HII HAPA


Kamati ya Serengeti fiesta inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa tamasha la serengeti fiesta lililokuwa lifanyike ijumaa hii mjini morogoro jamhuri stadium, sasa itafanyika siku ya jumapili kwenye uwanja huo huo wa jamhuri, kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu, na Tamasha la Serengeti Fiesta lilikuwa lifanye kwenye uwanja wa samora siku ya jumapili sasa litafanyika katika uwanja huo huo siku ya ijumaa kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu, kamati inaomba radhi kwa usumbufu wowote ambao utajitokeza, na pia kushukuru wapenzi wote wa serengeti fiesta kwa ushirikiano wao..
Sambaza upendo 




Source;Ubalozini.Blog

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates